HUU NDIO USHAHIDI ULIOTELEWA, UKIIHUSISHA BIG BROTHER NA FREEMASON. JIONEE MWENYEWE HAPA
WATU WANASEMA MANENO HUUMBA, INAWEZA KUWA KWELI AU SIO KWELI. JIONI HII WAKATI NIKIZUNGUKA ZUNGUKA NIMEKUTANA NA PICHA HAPO JUU IKIICHAMBUA LOGO MPYA YA BIG BROTHER. KAMA UNAVYOONA HAPO JUU KATIKA PICHA UTAONA KUA LOGO HIYO INAHUSISHWA NA MTANDAO WA FREEMASON. UKIANZA NA HILO JICHO PAMOJA NA VITU VINGINE. SASA KAZI KWAKO KUCHAMBUA PUMBA ZIPI NA MCHELE UPI |
No comments:
Post a Comment