Pages

Friday, May 24, 2013

Fast 6 new movie

FAST AND FURIOUS KUTOKA LEO DUNIANI KOTE
Movie iliyokuwa inasubiriwa sana na mashabiki wa fast and furious 1,2,3,4 na 5, leo hii inatoka katika kumbi za cinema mbali mbali duniani kote ikiwemo na Tanzania, ambapo Fast and Furious 6 itaonyeshwa leo hii ndani ya ukumbi wa Century Cinemax kuanzia saa moja na nusu usiku. Cheki na treillar yake hapa kama hujawahi kuiangalia

No comments:

Post a Comment