Pages

Friday, May 17, 2013

IDDY POST

 IMEELEZWA BAADHI YA VIONGOZI NDIYO CHANZO CHA UVUJAJI WA SIRI MAKAZINI NA SI MASEKRETARI.

Mtoa mada iliyohusu Maadili kazini,Bwa.Alex Senzota kutoka Idara ya Usalama Kazini (GSO),akifafanua zaidi kuhusiana na mada iliyohusu Maadili kazini na namna ya kutunza/kuepuka uvujaji wa siri za ofisi husika,mapema leo kwenye Kongamano la Tatu la Makatibu Muhtasi (Tanzania Personal Secretaries Association - TAPSEA) uliofanyika ndani ya  ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC), Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Chama chama cha Makatibu Muhtasi  Nchini Uganda (NASAP),Bi Edith Kutesa Giita akifafanua jambo kuhusiana na mada mojawapo ya iliyohusu Ni namna gani unaweza kuwa Katibu Muhtasi unaekwenda na wakati/wa kisasa,mapema leo kwenye Kongamano la Tatu la Makatibu Muhtasi (Tanzania Personal Secretaries Association - TAPSEA) lililofanyika ndani ya  ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC), Jijini Arusha.

 Mwenyekiti wa chama cha Makatibu Muhtasi  (Tanzania Personal Secretaries Association - TAPSEA),Bi Pili Mpenda akifafanua jambo mbele ya washiriki wa Kongamano la Tatu la Makatibu Muhtasi  likiendelea ndani ya  ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC), Jijini Arusha,kulia kwake ni Mwenyekiti wa Chama chama cha Makatibu Muhtasi  Nchini Uganda (NASAP),Bi Edith Kutesa Giita.


No comments:

Post a Comment