AJIRA KWA WATOTO MPAKA LINI; WATOTO MAKETE NA BIASHARA YA MKAA.
Mkaa ukiwa sokoni makete amabo unauzwa sh. 2000 na watoto hao ambapo kwa mujibu wa maelezo yao wamesema wanatumwa na wazazi wao kufanya hivyo
Hapa wakijiandaa kuugawa mkaa huo kidogo kidogo ili wautembeze mitaani kusaka wateja
Waangalie wafanyabiashara hawa, ambao kwa mtazamo wangu wanatakiwa wafanye kazi moja kubwa ambayo ni kusoma
Wakitafakari cha kufanya
Anazunguka mitaani kutafuta wateja
Akitafakari jambo, sijui kachoka ama vipi maana hii biashara duuuuuuh!
|
No comments:
Post a Comment