Movie iliyokuwa inasubiriwa sana na mashabiki wa fast and furious 1,2,3,4 na 5, leo hii inatoka katika kumbi za cinema mbali mbali duniani kote ikiwemo na Tanzania, ambapo Fast and Furious 6 itaonyeshwa leo hii ndani ya ukumbi wa Century Cinemax kuanzia saa moja na nusu usiku. Cheki na treillar yake hapa kama hujawahi kuiangalia
Friday, May 24, 2013
Tuesday, May 21, 2013
Habari leo
SHIGONGO ATOA SOMO KWA WAJASIRIAMALI WA BENKI YA NMB MOROGORO
Friday, May 17, 2013
Umasikini Makete
AJIRA KWA WATOTO MPAKA LINI; WATOTO MAKETE NA BIASHARA YA MKAA.
Thursday, May 16, 2013 Maoni: 0
Mkaa ukiwa sokoni makete amabo unauzwa sh. 2000 na watoto hao ambapo kwa mujibu wa maelezo yao wamesema wanatumwa na wazazi wao kufanya hivyo
Hapa wakijiandaa kuugawa mkaa huo kidogo kidogo ili wautembeze mitaani kusaka wateja
Waangalie wafanyabiashara hawa, ambao kwa mtazamo wangu wanatakiwa wafanye kazi moja kubwa ambayo ni kusoma
Wakitafakari cha kufanya
Anazunguka mitaani kutafuta wateja
Akitafakari jambo, sijui kachoka ama vipi maana hii biashara duuuuuuh!
|
IDDY POST
IMEELEZWA BAADHI YA VIONGOZI NDIYO CHANZO CHA UVUJAJI WA SIRI MAKAZINI NA SI MASEKRETARI.
Friday, May 17, 2013 Maoni: 0
Mtoa mada iliyohusu Maadili kazini,Bwa.Alex Senzota kutoka Idara ya Usalama Kazini (GSO),akifafanua zaidi kuhusiana na mada iliyohusu Maadili kazini na namna ya kutunza/kuepuka uvujaji wa siri za ofisi husika,mapema leo kwenye Kongamano la Tatu la Makatibu Muhtasi (Tanzania Personal Secretaries Association - TAPSEA) uliofanyika ndani ya ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC), Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Chama chama cha Makatibu Muhtasi Nchini Uganda (NASAP),Bi Edith Kutesa Giita akifafanua jambo kuhusiana na mada mojawapo ya iliyohusu Ni namna gani unaweza kuwa Katibu Muhtasi unaekwenda na wakati/wa kisasa,mapema leo kwenye Kongamano la Tatu la Makatibu Muhtasi (Tanzania Personal Secretaries Association - TAPSEA) lililofanyika ndani ya ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC), Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa chama cha Makatibu Muhtasi (Tanzania Personal Secretaries Association - TAPSEA),Bi Pili Mpenda akifafanua jambo mbele ya washiriki wa Kongamano la Tatu la Makatibu Muhtasi likiendelea ndani ya ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC), Jijini Arusha,kulia kwake ni Mwenyekiti wa Chama chama cha Makatibu Muhtasi Nchini Uganda (NASAP),Bi Edith Kutesa Giita.
Subscribe to:
Posts (Atom)